Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika ilianzishwa mwaka 1987 wakati Idara ya Isimu na Lugha za Kiafrika ilipogawanywa kuwa Idara tatu ambazo ni: Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika, Idara ya Lugha za Kigeni na Idara ya Kiingereza.
Mahali Ilipo
Idara hii ipo kwenye Barabara ya Makongamano (Conference Road), karibu na Idara ya Fasihi, Lugha na Isimu, ikiwa nyuma ya Kituo cha Biashara na mkabala na kanisa dogo la chuo kikuu.
Wahadhiri na Maeneo yao ya Utaalamu
Idara hii inao wahadhiri kumi na tisa (19) katika mabewa tofauti ya chuo hiki (Bewa Kuu, Mombasa na Nakuru). Wahadhiri hawa wana ujuzi wa miaka mingi katika maeneo ya utaalamu kama vile:
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Upekee wa Idara Hii
Idara hii inatambulika kwa ukubwa wake tukizingatia idadi ya wanafunzi na ubora wa kozi zinazofundishwa.
Shahada ya Kwanza
Idara hii hufundisha wanafunzi wa shahada za B.A. na B.ED. Wanafunzi hawa hutathminiwa kupitia kwa kazi ya darasani na mitihani.
Shahada ya Uzamili
Masomo ya Shahada ya Uzamili ya Kiswahili hudumu miaka miwili: ikiwa ni mihula mitatu ya kazi za darasani na muhula mmoja wa kuandika tasnifu au mihula miwili ya kazi za darasani na mihula miwili ya kuandika tasnifu. Sasa hivi Idara ina zaidi ya wanafunzi 200 wa Shahada ya Uzamili.
Shahada ya Uzamifu
Shahada ya Uzamifu katika Idara hii hutolewa kupitia kwa uandishi wa tasnifu. Hivi karibuni, masomo ya darasani kwa ajili ya shahada hii yataanzishwa. Mwanafunzi anaruhusiwa hadi miaka mitatu kukamilisha shahada hii. Kuna zaidi ya wanafunzi kumi wa Shahada ya Uzamifu waliojisajili Idarani.
Nyenzo
Idara ina maktaba ndogo ambamo mnahifadhiwa vitabu, majarida na tasnifu za Kiswahili. Tunawawezesha wanafunzi kutumia maabara ya lugha ya chuo katika tafiti zao za kiisimu.
Mfumo wa Masomo
Kuna mifumo mitatu ya masomo: (a) mfumo wa muda wote (b) mfumo wa masomo ya likizo (c) mfumo wa masomo huria. Mwanafunzi huchagua mfumo anaopendelea.
Kazi
Baada ya kufuzu, wanafunzi huajiriwa kama walimu, wahariri, watafiti, watawala, wanahabari, wafasiri, wakalimani au hata wanaweza kujiajiri.
- Prof. George Ireri Mbaabu
- Prof. Geoffrey Kitula King'ei
- Prof. Catherine M. Ndungo
- Prof Peter Githinji
- Dr. Richard Makhanu Wafula
- Dr. Edwin Wanyonyi Masinde
- Dr. Leonard Chacha Mwita
- Dr. Jacktone O. Okello
- Dr. Pamela Muhadia Yalwala Ngugi
- Dr. Miriam Kenyani Osore
- Dr. Timothy Arege
- Dr. Beth Njeri Mutugu
- Dr.David Kung’u Kihara
- Dr. Murithi Joseph Jessee
- Dr. Boniface Ngugi
- Dr Stephen Njihia Kamau
- Dr. Titus Musyoka Kaui
- Ms. Evaline S. Mudhune
- Mr. Japheth Mukobwa
SCHEDULE OF MEETINGS/SPECIAL EVENTS FOR 2017/2018 ACADEMIC YEAR
JANUARY 2018
DATE |
DAY |
TIME |
FUNCTION |
VENUE |
3-12/1/18 |
Wednesday Friday |
7.00 am |
Registration of New/Continuing Students (Regular)
|
Graduation Square 21A |
15/1/18 |
Monday |
9.00am |
Departmental Meeting |
R21A |
30/1/18 |
Tuesday |
9.00 am |
Departmental Examination Board |
R21A |
MARCH 2018
DATE |
DAY |
TIME |
FUNCTION |
VENUE |
6/3/18 |
Tuesday |
9.00 am |
Departmental Postgraduate Committee |
R21A |
15/3/18 |
Thursday |
9.00am |
Departmental Examination Board |
R21A |
29/3/18 |
Thursday |
9.00am |
Postgraduate Committee |
Graduate School |
APRIL 2018
DATE |
DAY |
TIME |
FUNCTION |
VENUE |
3-13/4/18 |
Tuesday Friday |
7.00am |
Registration of IBP Students |
21A |
11/4/18 |
Wednesday |
9.00am |
Departmental meeting |
21A |
25/4/18 |
Wednesday |
9.00am |
Departmental Postgraduate Committee meeting |
R21A |
MAY 2018
DATE |
DAY |
TIME |
FUNCTION |
VENUE |
2-18/5/18 |
Wednesday Friday |
7.00am |
Registration of New/Continuing Students (Trimester) |
Graduation Square 21A |
10/5/18 |
Thursday |
9.00am |
Departmental Postgraduate Committee meeting |
R21A |
21/5/18 |
Monday |
9.00am |
Departmental Examination Board |
R21A |
30/5/18 |
Monday |
9.00am |
Departmental meeting |
21A |
JUNE 2018
DATE |
DAY |
TIME |
FUNCTION |
VENUE |
7/6/18 |
Thursday |
9.00am |
Departmental Meeting |
|
19/6/18 |
Tuesday |
9.00am |
Postgraduate Committee meeting |
Graduate School |
26/6/18 |
Tuesday |
9.00 am |
Postgraduate seminar |
R21A |
JULY 2018
DATE |
DAY |
TIME |
FUNCTION |
VENUE |
6/7/18 |
Friday |
9.00am |
Postgraduate defence |
Graduate School |
10/7/18 |
Tuesday |
9.00 am |
Departmental Examination Board |
R21A |
17/07/18 |
Tuesday |
9.00am |
Departmental Meeting |
21A |
Prof. James Ogola Onyango
Laikipia University
P.O. Box 16789-20100
NAKURU, KENYA
0721807108
Prof. Shani Omari
Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili
Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam
S.L.P. 35110,
Dar Es Salaam, Tanzania.
Nambari ya Simu ya Mkononi: +255 713 24 10 27
Nambari ya Simu ya Ofisi: 0222410757
Baruapepe:
COLLABORATIONS AND PARTNERSHIPS
The Department has since the year 2016, established and maintained several international and local linkages. This is in line with the university's vision of being a world class Centre of academic excellence. The department collaborates with :
- SCHOOL OF ORIENTAL AND AFICAN STUDIES (SOAS) UNIVERSITY OF LONDON
- BEIJING FOREIGN STUDIES UNIVERSITY, BEIJING CHINA
Areas of collaboration include:
- Joint research activity
- Participation in seminars and academic events
- Exchange of academic material
- Special academic programmes
- Exchange of guest lecturers
- Exchange of undergraduate and graduate students