Mafanikio Na Changamoto Za Kiswahili Katika Karne Ya 21 Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.