Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.

Name: DR.DAVID KUNG’U KIHARA
Title/Qualification: Ph.D(KISWAHILI)
Department: Kiswahili and African Language
Designation/Position: LECTURER
Email:  This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Contact Address: 156-01028 KANGARI
Area of Specialization: KISWAHILI,SOCIO-LINGUISTICS
Research Interests :-Sheng’,Lexicalization,institutionalization and Deinstitutionalization In Matatu Sheng’
Google Scholar:
ORCID ID: https://orcid.org/0000-0002-5245-0914

 

Download Cv

Publications

 •  Kihara,D.K and Ngugi,P.M.(2021). Matumizi ya Teknohama na Lugha ya  Kiswahili kama  Nyenzo ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo:Tathmini ya Majukwaa ya Youtube na Facebook in TAALUMA Jarida la Chama cha Kiswahili cha Taifa. Juzuu 1 Na. 1 2021 Uk. 93-100.

 • Kihara, D.K. (2015). The Effect of the Meaning and Messageas Reflected in the Matatu Register in Kenya Public Transport Sector in Mediterranean Journal of Social Sciences,Vol 6 No. 2 S1,Uk. 435-442. 

 • Kihara, D.K. (2015). Textual Analysis: Rhetoric in the Matatu Register in Mediterranean Journal of  Social Sciences, Vol. 6, No. 2 S1 Uk. 354-362.

Books and Books Chapters

 • Kihara, D.K. (2015). Rhetoric in Matatu Register. Saarbruken:  LAP Lambert Academic Publishing Housing, ISBN 978-3-659-96395-3.

Conference/Workshops/Seminar Papers
Conference Papers

 • Matumizi ya Kiswahili katika Mitandao ya WhatsAPP na FACEBOOK inayotumiwa na wakulima(Kongomano la Kiswahili ,Chuo Kikuu cha Karatina 8th-9th August 2019).

 • Matumizi ya Lugha ya Kiswahili katika Kudhibiti Ugonjwa  wa Korona  (ISA RC25 International Virtual Conference 15 th- 17th June 2022).

Student Co-authored Publications

 • Muyumba, J., and Kihara, D. (2022). Maneno katika S.E.D. ambayo Hutumika katika Kiswahili Sanifu. East African Journal of Swahili Studies, 5(1), 314-329. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.827.
 • Muyumba, J., and Kihara, D.(2022). Muundo wa Kifonolojia wa Maneno ya Sheng’ . East African Journal of Swahili Studies, 5(1), 373-387. https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.872.
 • Muyumba, J. and Kihara, D. (2022). Sababu za Tofauti za Kimuundo katika Matumizi ya Sheng’ na Kiswahili Sanifu. East African Journal of Swahili Studies, 5(2), 185-194. https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.1031.

Workshops Attended

 • Kenya Youth Language Practices/Sheng’ Workshop 19-20th June 2018
 • East African Kiswahili Commission/University Kiswahili Stakeholders Workshop 20TH-22ND June 2016
 • University Internal Quality Assurance 25th-29th April 2016

Research

 • UUNDAJI,URASMISHAJI NA UTORASMISHAJI KATIKA SHENG’ YA MATATU
 • UCHAMBUZI WA MATINI:MATUMIZI YA LUGHA KATIKA SHENG’ YA MATATU
 • MATUMIZI YA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA KUDHIBITI UGONJWA WA KORONA

Conferenced/Workshops/Seminars Attended

Conferences Attended

 • CHAKAMA CONFRENCE OCT 2015(MKU)
 • CHAKITA CONFRENCE AUG 2013(KU)
 • International Mother Language Day (IMLD) 20TH-22ND FEBRUARY 2019 (KENYATTA UNIVERSITY)
 • CHAKITA CONFRENCE 8TH-9TH AUGUST 2019(KARATINA UNIVERSITY)
 • INTERNATIONAL MOTHER LANGUAGE DAY CELEBRATIONS 21st FEBRUARY 2022(KENYATTA UNIVERSITY)
 • ISA RC25 International Virtual Conference  15th-17th June 2022.

Workshops Attended

 • Kenya Youth Language Practices/Sheng’ Workshop 19-20th June 2018
 • East African Kiswahili Commission/University Kiswahili Stakeholders Workshop 20TH-22ND June 2016
 • University Internal Quality Assurance 25th-29th April 2016

Seminars Attended

 • E-Learning Training 8th March 2018
 • Capacity Building for new Teachingstaff-Methodology 25th-26th June 2018
 • Safety and Anti-Terrorism Preparedness 27th June 2018
 • Campus Nexsus 8th March 2019
 • Creation of GOOGLE Scholar Account 12th march 2019
 • Thesis and Project Supervision
 • Writing of interactive Modules June 2020
 • Training on Online Teaching using Google Tools September 2020.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine