Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.

Presentation of papers at Academic and Professional Conferences

Individual Presentations

 • “Hali ya Uundaji wa Baraza la Kiswahili nchini Kenya. Je, ni ndoto au Uhalisia? A paper presented during a conference on 2021 International Conference on African Language and Culture Studies Agenda. Organized by School of African Studies, Beijing Foreign Studies University, China on 4th December, 2021 Online.
 • “Nafasi ya Fasihi ya Watoto katika Mtaala wa Umilisi kama njia ya kujenga umilisi miongoni mwa watoto.” A paper presented during a conference on, Ukuaji wa Kiswahili Duniani na Ustawi wa lugha Nyingine za Kiafrika.” Organized by Chama cha Kiswahili Duniani (CHAUKIDU), 13th -15th December, 2019, Kyambogo University, Uganda.
 • “Umuhimu wa Mazingira Faafu Ufundishaji na Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.” A paper presented during a conference on Kiswahili; Lugha Nyingine za Kiafrika, Elimu na Maendeleo.” Organized by CHAKAMA, 7th-8th, November, 2019, Maasai Mara University, Narok, Kenya.
 • “Matumizi ya Teknohama na lugha ya Kiswahili kama nyenzo ya kuendeleza Sekta ya Kilimo: Tathmini ya Mitandao ya Youtube na Facebook.” A paper presented during a conference on Teknohama na Maendeleo endelevu.” Organized by CHAKITA, 8th-9th, August, 2019, Karatina University, Kenya.
 • “Fasihi ya Watoto Kama Chombo Cha Kujenga Mshikamano wa Kitaifa.” A paper Presented during a conference on “Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika.” Organized by CHAKITA. 8th-10, August, 2018, University of Moi, Eldoret.
 • “Fasihi ya watoto kama kichochezi cha kujua kusoma na kuandika.” A paper presented during a conference on, Transforming the East African community through Kiswahili.” Organized by East African Kiswahili Commission (EAKC), 6th-8th, September, 2017, Zanzibar, Tanzania.
 • “Fasihi andishi katika lahaja ibukizi za Kiswahili. Mfano kutoka Chapisho la “Shujaaz.” A paper presented during a conference on Taaluma za Kiswahili Karne ya 21 Nyumbani na Ughaibuni: Tutokako, Tuliko, na Tuendako organized by CHAUKIDU, 16th to 17th, December, 2016, held at Catholic University of East Africa, Nairobi, Kenya.
 • “Tathmini ya Kamusi Bora ya Watoto (John Kobia 2015)”. A paper presented during a conference held in Honour of Prof Mohamed Abdulaziz, organized by CHAKITA and Twaweza Communications. 8th-9th, September, 2016. Mombasa, Kenya.
 • “Fasihi ya Kiswahili ya Watoto: Uelekeo na Mustakabali wake katika miaka 50 ijayo”. A paper presented in a conference on Maendeleo na Kuenea kwa Kiswahili Miaka Hamsini Ijayo, Organized by CHAWAKAMA- Tanzania and the University of Dar Es Salaam, 15th -17th, September, Dar es Salaam, Tanzania.
 • “Nafasi ya Jamii ya Waasia katika kuendeleza lugha na fasihi ya Kiswahili.” A paper presented during an International conference on Foreign Languages in Africa in the 21st Century: Opportunities and Challenges, Organized by the Department of Foreign Languages. 11th – 13, February, 2015. Nairobi, Kenya.
 • “Nafasi ya Magazeti kama Kichocheo cha Kuendeleza na Kuimarisha Fasihi ya Watoto Nchini Kenya; Mifano kutoka gazeti la Daily Nation na Taifa Leo.” A paper presented during a conference on Kiswahili na Utandawazi Organized by CHAKITA, held at the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD), Nairobi. Kenya. 22 -24, October, 2014.
 • “An evaluation of Researches done on African Languages at Kenyatta university in Kenya” A paper presented during a conference on African Languages and Literatures in the 21st Century, Organized by the Institute of African Studies- Kenyatta University, whose theme was – “From Asmara 2000 to Nairobi 2014: New Horizons and Trends in African Languages and Literatures 6th – 8th, August, 2014
 • “Hatua za Maendeleo katika tafiti zilizofanywa katika idara ya Kiswahili: Mfano kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta.” Organized by CHAKAMA, held at the University of Rongo - Kenya. 13-15, May, 2014.
 • “Huduma kwa Umma kupitia matumizi ya Kiswahili.” A paper presented during a conference on Umoja, Undugu na Mtagusano wa Wakereketwa wa lugha ya Kiswahili. A paper presented at a Conference organized by CHAWAKAMA (Kenya) held at Kenyatta University on 31-01-2014 to 01-02-2014, Mada Kuu: Kiswahili na Utangamano
 • “Hatua za Maendeleo ya Utafiti katika Fasihi ya Watoto nchini Kenya”. A paper presented during a conference on Kiswahili na Maendeleo ya Afrika. Organized by CHAKAMA, held at the St. Augustus University, Mwanza Tanzania. 13-15, October, 2013
 • “Miaka Hamsini ya Fasihi ya Watoto katika Kiswahili nchini Kenya: Maendeleo na Changamoto.” A paper presented during a conference on Miaka 50 ya Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya: Tumejifunza Nini? Organized by CHAKITA, held at Catholic University of East Africa Nairobi. Kenya. 21-23, August 2013.
 • “Mchango wa bibliotherapia katika fasihi ya watoto” A paper presented during a Conference on Official Language and Development: The Case of Kiswahili in Modern Africa organized by RISSEA. at Fort Jesus, Mombasa, October, 25th – 27th, 2012.
 • “Mchango wa Watunzi wa Nyimbo za ‘Zilizopendwa’ katika kusambaza lugha ya Kiswahili nchini Kenya” A paper presented during a conference on 50 years of Kiswahili as a language of African Liberation, Unification and Renaissance organized by the Institute of Swahili Studies, University of Dar Salaam, held at Blue Pearl Hotel, Dar es Salaam. 4th – 6th, October, 2012.
 • “Nafasi ya Viongozi wa Kenya katika Kuendeleza na Kuimarisha lugha ya Kiswahili” A paper presented during a conference on, Kiswahili, Cohesion and Development organized by CHAKITA, held at Kenyatta University Conference Centre, (KUCC) Nairobi. Kenya. 23rd – 24th, August, 2012.
 • “Children’s Assembly as a Strategy for Active Participation of Children in Society: The Kenyan Experience” paper presented during a workshop on Children’s Agency and Development in African Societies, held in Dakar, Senegal, 5th-23rd September, 2011.
 • “Ufundishaji wa Fasihi ya Watoto nchini Kenya” A paper presented during a conference on Ufundishaji wa Kiswahili katika Viwango mbalimbali, organized by CHAKITA, held at Lenana Conference Centre Nairobi. Kenya. 8th-9th, August, 2011.
 • "The Role of the Shirazi Influence in Crafting Swahili Culture on East African Coast: The contribution of Persian language to Kiswahili Phonology and Lexicon." A Conference on The Role of the Shirazi Influence in Crafting Swahili Culture on East African Coast, organized by the Cultural Council of Embassy of the I.R. Iran held in Lamu, Kenya. 2nd - 3rd February, 2011.
 • “Tafsiri katika Fasihi ya Watoto: Mbinu na Mikakati.” A paper presented during a conference on Tafsiri na Ukalimani, organized by CHAKITA, held, at Pwani University College, Kilifi, Kenya12th-13th August, 2010.
 • “Using Children’s Literature in Multilingual Education: The Kenyan situation”. A paper presented during the International Conference on Multilingualism and Education: Global Practices, Challenges and the way forward, held at Kenyatta University, Nairobi. 22th-23th July, 2010.
 • “Children’s Literature in Kiswahili and Free Primary Education in Kenya: An evaluation.” A paper presented during the marking of ‘Crossroads Africa: Kenya’ at the Institute of African Studies-University of Vienna, Vienna, Austria. 9th October, 2009.
 • “The Role and place of Children’s Literature in Kiswahili in Kenyan Primary schools”. A conference organized by Reading For All on Literacy for Community held at the University of Dar Es Salaam, Dar Es Salaam, Tanzania. 10th-14th August, 2009.
 • “Swahili Curriculum in Education and Nationalism: The place of Children’s Literature in enhancing Nationalism”. A conference organized by CHAKITA on Swahili Curriculum in Education and Nationalism held at Fort Jesus in Mombasa, Kenya. 6th - 9th August, 2008.
 • “An Examination of the Structure of Eight Selected Bilingual Dictionaries in Swahili” a seminar organized by the Institute of African Studies on African Lexicography, held at the Institute of African Studies, University of Vienna, Austria, 8th, May, 2008.
 • “Mailbox Discourse as a form of Democratic Participation in Society” A paper presented at a workshop on Media and Governance organized by The Council for the Development of Social Science Research in Africa (CODESRIA) held in Dakar, Senegal. 16th-10th August, 2005.
 • “Convergences and Divergences in Africa: The Place of Kiswahili as a Unifying Language in Africa” a conference on Geopolitical Evolutions of Africa in the Beginning of the 3rd Millennium Organized by The Africa Studies Center held at Tarbiat Modarres University, Tehran, I.R-Iran. 23rd - 24th November, 2004.
 • “Uteuzi wa vitabu vya Fasihi ya Watoto” A conference on Mabadiliko ya Mitaala ya Kiswahili nchini Kenya organized by The Institute of Kiswahili Research, held at Kenyatta University, Nairobi, Kenya. 28th- 29th April, 2004.
 • “Protecting and Empowering African Languages against Linguistic Genocide: The Kenyan Case. ’’A conference on Protecting and Empowering African Languages organized by LASU held at the University of Dar es Salaam, Tanzania. 3rd- 4th August, 2003.
 • "The Making of Young Literary Readers in Kenya". A Conference on Change and Renewal in Children’s Literature organized by the International Research Society for Children's Literature (IRSCL) held at Klein Kariba, South Africa, 20th - 24th August, 2001.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine