Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.

 University level scholarly Book

 • Ngugi, Pamela (2020). Fasihi ya Watoto ya Kiswahili: Maendeleo, Nadharia, Mbinu na Mifano ya Uchambuzi TATAKI- University of Dar Es Salaam.  Co- authored with : Lyimo Edith & Bakize, L.H. : ISBN 978 9976 531 695.
 • Ngugi, Pamela (2016). Introducing Children’s Literature. Lap Lambert Publishers.Germany. ISBN: 978-3-659-84696-0. On line publication.

 Book Chapters

 • Ngugi pamela (2023) . “Mitaala ya Kiswahili katika Elimu na Utaifa:Nafasi ya fasihi ya watoto katika Uendelezaji na Uimarishaji wa Mshikamano wa Kitaifa.” In, Kimani Njogu na Clara Momanyi (Wah), Kiswahili: Utaifa na Elimu Nchini Kenya. Twaweza Communication. Kur. 91-107.ISBN: 978-9966-128-13-3.
 • Ngugi, Pamela, Joseph Maitaria na Pius Nyakundi. (2023) “ Fasihi kama chombo cha Kubainishia mielekeo ya watu kuhusu lugha: Mifano kutoka katika Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea ( Ken Walibora, 2012)” In, Mosol Kandagor, F.S.Wanjala, I. Mwangi na J. Kobia (Wah) Fasihi na Masuala Ibuka: Kwa heshima ya Marehemu Prof. Ken Walibora.  Focus Publishers. Kur 13- 26.  ISBN: 9966-01-444-6.
 • Ngugi, Pamela (2020). “ Umuhimu wa Mazingira katika Ufundishjai na Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.” Katika, Isaiah Mweteri (Mhr). Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika shule nchini Kenya. Oxford University Press. Kur 99-118. ( White paper document).
 • Ngugi, Pamela (2019). “Fasihi ya Watoto katika Ufundishaji wa Kiswahili katika vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki.” In, Kenneth Simala (Mhr). Mitaala ya Kiswahili katika Vyuo vikuu vya Afrika Mashariki. Zanzibar. Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki.KAKAMA.  212-242. ISBN: 978-9976-5-1650-0
 • Ngugi Pamela, M.Y.  (2018). “Mchango wa Viongozi wa Kenya katika Kuimarisha Lugha ya Kiswahili”. In, Shani Omari na Method Samuel (wah) Fasihi, Lugha na Utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika: Kwa Heshima ya Prof. M.M. Mulokozi.  Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. 476- 496. ISBN: 978 99976 5316 1 9.

Refereed Learning Modules

Interactive Modules

 • Ngugi Pamela & Catherine Ndungo ( 2020) AKS 316: The Short Story in Kiswahili. DSVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela (2021): Children’s Literature. DSVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela, Leonard Chacha & Githinji Peter (2020). AKS400: Sociolinguistics. DSVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela & Boniface Ngugi (2020). AKS 806 :Advanced Sociolinguistics. DSVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela, Osore Miriam & Chacha Leonard ( 2020): AKS100:  Introduction to the Study of Language. DSVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela (2019). AKS 806 :Advanced Sociolinguistics. DVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela, Osore Miriam & Chacha Leonard (2000 updated 2018): AKS100:  Introduction to the Study of Language. DVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela & Chacha Leonard (2001). AKS 400: Sociolinguistics. DVOL- Kenyatta University.
 • Ngugi Pamela (2018 ) AKS824:Advanced Chuildren’s Literature. DVOL- Kenyatta University.

Reviewed Conference Papers

 • Ngugi, Pamela (2019). “Fasihi ya Watoto kama njia ya Kukuza Mshikamano wa Kitaifa.” In, J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (eds). Lugha na fasihi katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret. Moi University Press. Kur 1-10.
 • Ngugi, Pamela (2018). “Hatua na Maendeleo ya Utafiti katika Fasihi ya Watoto Nchini Kenya.” In, Mosol Kandagor and Mwenda Mukuthuria (eds), Fasihi Utafiti na Maendeleo yake. CHAKAMA na TUKI. University of Dar es Salaam. 54-64. ISBN 978 9976 5058 8-7.
 • Ngugi, Pamela (2018). “Tathmini ya Muundo wa Kamusi Bora ya Watoto.” In, L.M. Chacha, M. Kandagor, S.A. Ryanga Na J.N. Maitaria (eds). Isimu na Fasihi ya Lugha za Kiafrika. Kwa Heshima ya Profesa Mohamed Hassan Abdulaziz. Moi University Press. Eldoret. 209- 219. ISBN: 78-9966-1879-0.
 • Ngugi Pamela M.Y. & Wamalwa, S. (2018). “An Evaluation of Researches done on African languages at Kenyatta University.” In. C.M.Ndungo et al (eds) From Asmara 2000 to Nairobi 2014: Trends in African Languages and Literatures. Institute of African Studies, Kenyatta University. 76-89. ISBN No. 978-9966-54-100-0.
 • Ngugi, Pamela M.Y. (2017). “Fasihi katika Lahaja Ibukizi. Mfano kutoka chapisho la Shujaaz.” In: M.M. Mulokozi and Mussa M. Hans (eds). Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI) & CHAUKIDU. University of Dar es Salaam. 199-210. ISBN 0856-0129 (Special Edition).
 • Ngugi Pamela M.Y., L.H. Bakize ( Tanzanian) na E.B. Lyimo (Tanzanian) (2017). “Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili ya Watoto nchini Tanzania na Kenya: Mkabala Linganishi.” In: D.P.B. Massamba & F.N. Joster (ed) Kiswahili Journal of the Institute of Kiswahili Studies (TATAKI). University of Dar es Salaam Vol. 80. 2017, 170- 180. ISBN 0856-048 X.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2016). “Magazeti kama Kichocheo cha kuendeleza Fasihi ya Watoto na Vijana. Mfano kutoka Daily Nation na Taifa Leo.” In. Leonard Chacha (ed) Kiswahili na Utandawazi. Twaweza Communication. Nairobi. 59- 68. ISBN 9789966 028 62 4.
 • Ngugi Pamela M.Y. Stephen Wamalwa ( Student) na Jacktone Onyango (2016). “Tathmini ya Uwasilishaji wa Habari za Kiswahili katika mtandao wa Swahilihub.” In: Leonard Chacha (ed) Kiswahili na Utandawazi. Twaweza Communication. Nairobi. 217-226. ISBN 9789966 028 62 4
 • Ngugi Pamela, Gladys Kinara ( Student) na Edwin Masinde (2015) “Usawiri wa ‘UKIMWI’ katika Ua la Faraja na Kala Tufaha M. Mukuthuria, J. Ontieri, M. Kandagor na L. Sanja (eds.) Kiswahili na Maendeleo. Dar es Salaam: Chama cha Kiswahili cha Africa Mashariki. Kur. 62-73.
 • Ngugi Pamela na Fridah Kaviti (student) (2015) “Mbinu za Kujiimarisha na Kujidumisha Kilugha kwa Wambeere.” In. Mukuthuria, J. Ontieri, M. Kandagor na L. Sanja (eds.) Kiswahili na Maendeleo. Dar es Salaam: Chama cha Kiswahili cha Africa Mashariki. Uk. 211-221. ISBN 979 9987 531 417.

Consultancy and Project Reports

 • May 2023: Invited by the Kenya National Examination Council to participate in Approving the Diploma in Secondary Teacher Education (DSTE) Curriculum on 29th May, 2023 at Mtihani House South C.
 • May 2023:. Invited by Kenya Institute of Curriculum Development to A Course Panel Meeting on Validation of Grade 10 Curriculum Designs between 16th to 19th, May 2023 at the Kenya Institute of Curriculum Development.
 • Ngugi Pamela (2022). Engaged by Iseme Kamau and Maema Advocates to translate Witness Statements from English to Kiswahili.
 • Ngugi Pamela, Chacha Leonard, Osore Miriam, Githiora Chege, King’ei Geoffrey & Catherine Ndungo (2020): Translated, “The Farmsmart Application Programme” for SOAS University of London.
 • Ngugi Pamela, Chacha Leonard & Osore Miriam, (2019): Translated The Board of Engineers of Kenya Service Charter and Brochure from English to Kiswahili.
 • Ngugi Pamela, Chacha Leonard & Osore Miriam, (2019): Translated the Kenya Tourism Board Service Charter from English to Kiswahili.
 • Engaged by the Ministry of Energy and Petroleum – State Department of Energy to offer Interpretation services during the Kinangop Wind Park ICC Arbitration Hearing in London, 4th to 15th December, 2017.

Non- Reviewed Conference Papers.

 • Ngugi, pamela (2019) “ Nafasi ya Elimu katika kukuza Kiswahili.” A paper presented during the Kiswahili Council Stakeholders’ meetings held at Nakuru, Kisumu and Kakamega  (19th- 24 th August, 2019.

Other Publications

 • Ngugi Pamela (2023). Wageni kutoka Uchina. Adizan Publishers.
 • Ngugi Pamela (2022). Short story: “Baba Mwenza.” Katika, Mwenda Mbatia (Mhr) Siri ya Bwanyenye na Hadithi Nyingine. Spotlight Publishers, Nairobi. Pg. 13-22. ISBN 978-9966-57-308-7
 • Ngugi Pamela (2019). Familia ya Sudi na Shadda. Longhorn Publishers, Nairobi. (Gredi 1)
 • Ngugi Pamela (2019). Sudi na Shadda Wasoma kazi mbalimbali. Longhorn Publishers, Nairobi  (Gredi 2).
 • Ngugi, Pamela (2019). Sudi na Shadda Wamzuru Babu. Longhorn Publishers, Nairobi ( Gredi 3)
 • Ngugi Pamela M.Y. (2016). Mbwa wa Jemo. Kenya Literature Bureau.
 • Ngugi Pamela (2014). Ujasiri wa Tito. Oxford University Press, Nairobi. ISBN 978 019 573982 4.
 • Ngugi Pamela (2012). Abida Avuka Barabara, Longhorn Publishers. Nairobi. ISBN 978 9966 36 223 1.
 • Ngugi Pamela, (2011): Language and Literacy Education: The State of Children's Literature in Kiswahili in Kenya. Lambert Academic Publishing. Berlin. ISBN 978-8433-9327-0.
 • Ngugi Pamela M.Y, (2010): Hazina Shambani, Marimba Publishers. Nairobi. 798-9966-794-02-6.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2009): Sisho Akutana na Wababeli, East Africa Publishing House. Nairobi. ISBN978-9966-25-739-0.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2009): Kijana Mwaminifu, East African Publishing House. Nairobi. ISBN978-9966-25-624-9.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2008): Dani na Wezi wa Toyota, Longhorn Publishers, Nairobi.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2008): Wamenisingizia, Phoenix Publishers, Nairobi. ISBN9966 47 127-8.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2007): Yaliyompata Winko, Ripuvan, Phoenix Publishers, Nairobi. ISBN 9966 47 143 X.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2007): Alipata Tuzo, Longhorn Publishers, Nairobi. ISBN 9966 49 883 4.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2006) : Unajua ni kwa nini ? Phoenix Publisher, Nairobi. ISBN 9966 47 128 6.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2006) : Asante Mama, Phoenix Publisher, Nairobi. ISBN 9966 47 130 8.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2005) : Ujeuri wa Mbwa, Phoenix Publisher, Nairobi. ISBN 9966 47 139 1.
 • Ngugi Pamela, M.Y. (2004): Teaching Module for Distance Learning entitled Mofolojia ya Kiswahili Published by Catholic University of East Africa.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. 2004: Mazoezi Ya Kiswahili: Darasa la Pili, Single Educational Publishers, Nairobi.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. 2005: Mazoezi ya Kiswahili: Darasa la Tatu. Single Educational Publishers, Nairobi.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003) : Nikicheka Anacheka 1B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN19 573053 4.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003) : Kipengo. 2B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN 978 019 573059 3.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003): Si Kupenda Kwake .3B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN  019 573065 8.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003): Usicheze na Moto .4B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN 019573071 2.

  Editorship of a book or Conference Proceedings.

 • Catherine Ndungo, Leonard Chacha, Pamela M. Ngugi & Makokha Justus (2018). From Asmara 2000 to Nairobi 2014: New Horizons and Trends in African Languages and Literature. Nairobi: Kenyatta University Press. ISBN: 978-9966-54-100-0.
 • Hilda Kebeya, Miriam Osore, Pamela M. Ngugi & Charles Kebaya (2016): Language and Translation: Theory Pedagogy and Practice. Published by Nsema. ISBN: 976-1-926906-47-8.

Scholarly Presentations at Conferences/ Workshops/ Seminars

 • November, 2023: “Between Communication Needs and Representation of Africanicity: Kiswahili in Modern East African Society.” A paper  presented at the Beijing Foreign Studies University,     Beijin , China as a Guest Scholar at the University ( September 2023- May, 2024).
 • April, 2023: Swahili in the Laguage Policies of Kenyan Government.” An Online Paper presented on 27th April 2023 at the university of Girona, Spain within the framework of the Guest Country Week, that was dedicated to Kenya. Theme: Swahili: Between Communication Needs and Representation of Africanity"
 • February, 20223:“Ujumuishaji wa Bildungsroman katika Mtaala wa Umilisi.” A paper presented during a conference on, Kiswahili na Uchumi wa Kijani. Organized by Chama cha Kiswahili - Kenya ( CHAKITA) 1-3. February, 2023. Kabianga, Kenya.
 • Decembe, 2023:“Hali ya Uundwaji wa Baraza la Kiswahili nchini Kenya. Je, ni Uhalisia au Ndoto?” A paper presented during a conference on 2021 International Conference on African Languages and Culture studies. Organized by Beijing Foreign Studies University, held on  4-12- 2021. ( On line).
 • September, 2020: “Mikakati ya Kujenga Utamaduni wa Kusoma Miongoni mwa Watoto katika Muktadha wa Janga la Korona,” A paper presented during a virtual seminar to mark the World Reading and Writing Day organized by Regional Education Learning Initiative- Tanzania, 12-9-2020- Zoom ID 829 4481 8107- Passcode 402827.
 • February, 2020: “The Process of of Establishing The Kiswahili Council in Kenya: Where are we Now?” A paper presented during a seminar Marking the Mother Language day Celebration: Languages Across Boarders. Organized by The Department of Kiswahili at Kenyatta University, 19th February, 2020.
 • December, 2015: “Nafasi ya Fasihi ya Watoto katika Mtaala Unaoegemea Kwenye Maadili, 2017.” A paper presented during a conference on,Ukuaji wa Kiswahili Duniani na Ustawi wa Lugha Nyingine za Kiafrika”. Organized by Chama cha Kiswahili Duniani ( CHAKAMA) 13-15. December, 2019. Kampala, Uganda.
 • November, 2019: “Umuhimu wa Mazingira Faafu katika ufundishaji na Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.” A paper presented during a conference on, “Kiswahili na Lugha Nyingine za Kiafrika katika Maendeleo ya Jamii.” Organized by CHAKAMA 7-8, November, 2019 at Maasai Mara, Narok. Kenya.
 • September, 2017: “Fasihi ya watoto kama kichochezi cha kujua kusoma na kuandika.” A paper presented during a conference on, Transforming the East African community through Kiswahili.” Organized by East African Kiswahili Commission (EAKC), 6th-8th, September, 2017, Zanzibar, Tanzania.
 • December, 2016:“Fasihi andishi katika lahaja ibukizi za Kiswahili. Mfano kutoka Chapisho la “Shujaaz.” A paper presented during a conference on Taaluma za Kiswahili Karne ya 21 Nyumbani na Ughaibuni: Tutokako, Tuliko, na Tuendako organized by CHAUKIDU, 16th to 17th, December, 2016, held at Catholic University of East Africa, Nairobi, Kenya.
 • September, 2016:“Tathmini ya Kamusi Bora ya Watoto (John Kobia 2015)”. A paper presented during a conference held in Honour of Prof Mohamed Abdulaziz, organized by CHAKITA and Twaweza Communications. 8th-9th, September, 2016. Mombasa, Kenya.
 • September, 2016:“Fasihi ya Kiswahili ya Watoto: Uelekeo na Mustakabali wake katika miaka 50 ijayo”. A paper  presented in a conference on Maendeleo na Kuenea kwa Kiswahili Miaka Hamsini Ijayo, Organized by CHAWAKAMA- Tanzania and the University of Dar Es Salaam, 15th -17th, September, 2016. Dar es Salaam, Tanzania.
 • February, 2015:“Nafasi ya Jamii ya Waasia katika kuendeleza lugha na fasihi ya Kiswahili.” A paper presented during an International conference on Foreign Languages in Africa in the 21st Century: Opportunities and Challenges, Organized by the Department of Foreign Languages. 11th – 13, February, 2015. Nairobi, Kenya.
 • August, 2014:“ Magazeti kama Kichocheo cha kuendeleza Fasihi ya Watoto na Vijana: Mfano kutoka Daily Nation na Taifa.” A paper presented during an International Conference on Kiswahili na Utandawazi. Organized by CHAKITA. 11-13, August, 2014 at The Institute of Curricullum Development, Naorobi, Kenya.

Multiple Presentations

 • June, 2022: “Usiasahishaji wa  Majina za Vyakula na Matunda katika Kampeni ya kisiasa nchini Kenya,” A paper presented during a conference on, Kiswahili katika Enzi za Kidijiti. Organized by CHAKAMA, held at Kabale University, Uganda. 9th-11th, June, 2022. Presented with David Mbugua and Violet N. Otago.
 •  August, 2019:“Teknohama na Kiswahili kama njia ya kuendeleza Sekta ya Kilimo: Tathmini ya Mitandao ya Kijamii.” A paper presented during a conference on, Technology and Sustainable Development organized by CHAKITA, held at Karatina University, Nyeri. Kenya. 8th-9th, August, 2019. Presented with Dr. David Kihara.
 •  August, 2014:“Tathmini ya Uwasilishaji wa Habari za Kiswahii katika Mtandao wa Swahilihub.” A paper presented during an International Conference on Kiswahili na Utandawazi. Organized by CHAKITA held at  The Institute of Curricullum Development, Naorobi, Kenya. 11-13, August, 2014  Presented with Mr. Wamalwa and Dr. Jacktone Onyango.
 • August 2012:“Riwaya za Kiswahili na Suala la UKIMWI: Mfano kutoka Ua La Faraja na Kala Tufaha” A paper presented during a conference on, Kiswahili, Cohesion and Development organized by CHAKITA, held at Kenyatta University Conference Centre, (KUCC) Nairobi. Kenya. 23rd – 24th, August, 2012. Presented with Gladys Kinara and Dr. Edwin Masinde..
 • August, 2012:“Nafasi ya Kiswahili katika Utangamano na Ukuaji wa Wanafunzi katika Vyuo Vikuu Humu nchini.” A paper presented during a conference on, Kiswahili, Cohesion and Development organized by CHAKITA, held at Kenyatta University Conference Centre, (KUCC) Nairobi. Kenya. 23rd – 24th, August, 2012. Presented with Stephen Wamalwa (B.Ed. student).
 • October, 2011: “Usawiri wa UKIMWI katika Ua La Faraja na Kala Tufaha.”  A paper presented during a Conference on Kiswahili na Maendeleo ya Jamii, organized by Chama Cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) held at Bontana Hotel, Nakuru. Kenya. 12th-16th October, 2011. Presented with Gladys Kinara, (MA student).

Paper Reviews in Journals

 • March, 2023: Ecology motif  as  thematic  foci:  The  identity  of  Swahili  Poetry and Ecocriticism  Kioo  cha  Lugha  Journal. TATAKI.
 • July, 2020: Values in Youth Literature. African Educational Research Journal. netjournals.org.
 • May, 2020: Mbinu Za Kiasili Za Kiafrika za Kupambana na ‘Wezi’ – Uchambuzi Wa Kazi Teule Za Moto Wa Mianzi & Ngome Ya Mianzi. Jarida la Kiswahili, University of Dar Es Salaam.
 • April, 2020:‘Itikadi Za Kisiasa Katika Vitabu Teule Vya Fasihi Ya Watoto Ya Kiswahili’. Jarida la Kioo cha Lugha. University of Dar es Salaam.
 • February, 2016: Appointed as a reviewer for 'Fani na Maudhui ya Tamthilia ya VVU/UKIMWI katika Fasihi ya Kiswahili'. for Swahili Forum Journal: <http://afrikanistik.gko.uni-leipzig.de/swafo/
 • August, 2015: Appointed as a reviewer by the Coordinator of Foreign Languages in Africa in the 21st Century:  Opportunities and Challenges, Conference to review two chapters entitled:     “Dhima ya Vitabu vya Fasihi Tafsiriwa ya Kigeni kwa Fasihi ya Kiswahili’’ and “The role of social networks in informal foreign language learning in the tourism industry in    Mombasa County, Kenya.’’

 

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine