Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.

Refereed Learning Modules

 • Chacha, Leonard Mwita, Pamela Y. Ngugi & Miriam Osore. 2002. AKS 100: Introduction to the Study of Language Module. Institute of Distance and e-Learning. Kenyatta University.
 • Chacha, Leonard Mwita, Pamela Y. Ngugi & Miriam Osore. 2021. AKS 110: Introduction to the Study of Language. Interactive Module. Digital School of Virtual and Open Learning. Kenyatta University.
 • Chacha, Leonard Mwita & Evaline Mudhune. 2020. AKS 300: Morphology and Syntax. Interactive Module. Digital School of Virtual and Open Learning. Kenyatta University.
 • Chacha, Leonard Mwita & Pamela Y. Ngugi. 2003. AKS 400: Sociolinguistics Module. Institute of Distance and e-Learning. Kenyatta University.
 • Chacha, Leonard Mwita & Boniface Ngugi. 2020. AKS 410: Semantics. Interactive Module. Digital School of Virtual and Open Learning. Kenyatta University.
 • Chacha, Leonard Mwita. 2020. AKS 800: Trends in Linguistic Theory. Interactive Module. Digital School of Virtual and Virtual Open Learning. Kenyatta University.
 • Chacha, Leonard Mwita. 2021. AKS 826: Advanced Semantics. Interactive Module. Digital School of Virtual and Open Learning. Kenyatta University.
 • Osore, Miriam & Chacha, Leonard Mwita. 2021. AKS 314. Applied Translation and Interpretation Interactive Module. Digital School of Virtual and Open Learning. Kenyatta University.

 Reviewed Conference Papers

 • Chacha, Leonard Mwita. 2000. Usanifishaji Bia wa Kiswahili. In Kiswahili katika Karne ya Ishirini na Moja. Cape Town. The Centre for Advanced Studies of African Society (CASAS). Pgs. 46 – 53.
 • Mwangi, Leah, Mwita, Leonard Chacha na Onyango, Jacktone. 2014. Changamoto za Kujifunza Kirai Nomino cha Kiswahili Miongoni mwa Wanafunzi: Mchango wa Vitabu vya Kozi Vilivyoidhinishwa. In Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya. Nairobi. Twaweza Communications. Pgs. 93 – 104.
 • Chacha, Leonard Mwita. 2014. Najivunia kuwa Mkenya: Utosarufi, Mtindo au Mabadiliko ya Lugha? In Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya. Nairobi. Twaweza Communications. Pgs. 179 – 187.
 • Chacha, Leonard Mwita. 2014. Tafsiri ya Majina ya Kipekee-Uchunguzi Kifani wa Majina ya Nchi. In Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya. Nairobi. Twaweza Communications. Pgs. 220 – 241.

Secondary School Level Textbooks

 • Mwita, Leonard Chacha. 2012. Lugha ya Kiswahili ECDE-Cheti. Nairobi. Longhorn Publishers. ISBN 996622337-1.

Editorship of a Book or Conference Proceedings

 • Simala, Inyala, Chacha, Leonard na Miriam Osore (eds.) 2014. Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya. Nairobi. Twaweza Communications.
 • Chacha, Leonard Mwita (ed.) 2016. Kiswahili na Utandawazi. Nairobi. Twaweza Communications.
 • Mwita, L.C., Kandagor, M., Ryanga, S.A. & Maitaria, J.N. (ed.) 2018. Isimu na Fasihi ya Lugha za Kiafrika. Moi University Press.
 • Ndungo, C.M., Mwita, L.C., Ngugi, P.M., Makokha, J.S., & Ngugi, D. (ed.) 2018. From Asmara 2000 to Nairobi 2014: Trends in African Languages and Literatures. Kenyatta University Press.
 • Kobia, J., Kandagor, M. & Mwita, L.C., Maitaria, J.N. & Wandera-Simwa, S.P (eds) 2019. Uwezeshaji wa Kiswahili kama Wenzo wa Maarifa. Moi University Press.
 • Kobia, J., Kandagor, M. & Mwita, L.C. (eds) 2019. Lugha na Fasihi katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret. Moi University Press.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine