Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
chair swahili dept

Title/Qualifications: Senior Lecturer. (Ph.D–comparative Literature & Minors in Folklore and African Studies – Indiana University, Bloomington- 2003)

Department/Unit/Section: Kiswahili 

Position:  Senior Lecturer and Dean School of Humanities & Social Sciences
Download Full CV

ORCID ID

Google Scholar

Research Publications

Refereed Journal Papers

 1. Richard Makhanu Wafula. “Economic Perspectives in East African Literature: A Study in Selected Novels in Kiswahili”, The International Journal of Humanities and Social Studies, vol. 9 issue 4, April 2021
 2. Leonard Sanja, Richard Makhanu Wafula; Geoffrey Kitula King’ei “A Semiotic Survey of Kivumba Superstitions”. International Journal of Innovative Research and Knowledge.Vol. 5, Issue 5, May 2020.
 1. Justus Kyalo; Kitula King’ei; Richard Makhanu Wafula. “ Uhusiano kati ya Asasi ya Familia na Uongozi wa Jamii katika Riwaya za Kiswahili za Dunia Yao ( Mohamed) na KIdagaa Kimwemwozea (Walibora)” Eastern Africa Journal of Contemporary ResearchVol.1. Issue 1,2019.
 1. Jessee Murithi; Richard Makhanu Wafula; Geoffrey Kitula King’ei, “Itikadi Katika Riwaya za Dunia Yao na Mhanga Nafsi Yangu za S.A. Mohamed” International Journal of Humanities and Social Sciences. Vol. 23, issue 9, 2018.
 1. Joseph Nyehita Maitaria; Richard Makhanu Wafula.” Ushairi wa Abdilatif Abdalla Katika Kubainisha Utamaduni wa Waswahili”, Journal of Linguistics and Language in Education. Vol. 12, No 2, 2018.
 2. Frankin Mukembu; Geoffrey King’ei; Richard Makhanu Wafula. “ Mbinu ya Ubunilizi wa Kisayansi katika Riwaya: Binadamu! na Babu Alipofufuka” International Journal of Social  Science and Education ( AIJSSE) 2018
 1. With Chris L. Wanjala “Narrative Techniques in Chinua Achebe’s Things Fall Apart,Journal of Social Science 50 ( 1-3) : 62-69- (2017), London: Routledge/Taylor & Francis Online
 1. With Lukorito Wanjala “Lacanian Psychoanalysis and Reading Athol Fugard’s The Blood Knot”, Journal of Social Science 49 (1,2): 175-182- (2016), New Delhi: Kamla Raj.
 2. With J.N. Maitaria. “Academic Publishing in Eastern Africa: Prospects and Challenges”, Kumekucha, vol. 1, issue1, 2015. Nairobi : Catholic University of East Africa
 3. “Nadharia za Uhakiki wa Fasihi kama Mchakato wa Kutaalamisha Usomaji wa Fasihi”, Journal of Linguistics and Language in Education, Vol. 8, Number 1, (2014: 39-48) Dar es Salaam: Department of Foreign Languages.
 4. With J.N. Maitaria, “Ushairi wa Kiswahili na Uwasilishaji wa Harakati za Kukabiliana na Matatizo Yaliyopo Katika Mataifa Huru ya Afrika”, Kiswahili 78, issue 1 (2014: 69-84). Dar es Salaam: Institute of Kiswahili Studies.
 5. “ Uchambuzi wa Amezidi” Makala ya Semina ya Kiswahili ya Kitaifa Nairobi: Kenya Kiswahili Association, 1997
 6. .“ Uainisho wa Methali” Forum: Journal of the Writers’ Association of Kenya. Nairobi: Writers’ Association of Kenya, 1993.

Prof. Peter Githinji

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne ya 21

MODNS2_CREATED 29 November 2021

Wahadhiri na wanafunzi waliohudhuria kongamano la CHAKITA lililofanyika katika Kenya school of Government ( Baringo) Kabarnet , Kuanzia Novemba 25-26, 2021. Kauli Mbiu: Mafanikio na Changamoto za Kiswahili katika Karne...

WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

MODNS2_CREATED 06 July 2021

>>>>>DOWNLOAD WITO WA MAKALA ,KITABU CHA HESHIMA KWA PROF. GEORGE IRERI MBAABU

Go to Top
Template by JoomlaShine