Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
  • Leonard M. Chacha & Pendo S. Malangwa ( 2019): Semantiki. Nairobi: Longhorn Publishers.
  • Ngugi Pamela (2019). Familia ya Sudi na Shadda. Longhorn Publishers, Nairobi. (Gredi 1).
  • Ngugi Pamela (2019). Sudi na Shadda Wasoma kazi mbalimbali. Longhorn Publishers, Nairobi (Gredi).
  • Ngugi, Pamela (2019). Sudi na Shadda Wamzuru Babu. Longhorn Publishers, Nairobi (Gredi).

chair swahili dept

Dr. Pamela Muhadia Ngugi

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Go to Top
Template by JoomlaShine