WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
  1. P. (2019). “Fasihi ya Watoto kama njia ya Kukuza Mshikamano wa Kitaifa.” Katika, J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (Wah.) Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. Kur. 1- 10.
  2. J.K. (2019). “Ushairi wa Kiswahili kama Tukio la Kihistoria.” Katika J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (Wah.)  Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. Kur. 115-127.
  3. Mutugu, B. na Osore, K.M. (2019). “Athari za Ulevi katika Mshikamano wa Kijamii: Uchanganuzi wa Wahusika Teule katika Riwaya ya Dunia Mti Mkavu (S.A. Mohamed) na Rose Mistika (E. Kezilahabi).” Katika J. Kobia, M. Kandagor na L.M. Chacha (Wah.) Lugha na Fasihi Katika Mshikamano wa Kitaifa na Uwiano Barani Afrika. Eldoret: Moi University Press. Kur 239-250.

chair swahili dept

Dr. Pamela Muhadia Ngugi

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Daktari Pamela Ngugi- Mkuu wa idara akiwasilisha makala katika kongamano la CHKAKITA- CHUO KIKUU CHA KARATINA-KENYA, 8-9, AGOSTI, 2019.

MODNS2_CREATED 13 August 2019

Daktari Pamela Ngugi- Mkuu wa idara akiwasilisha makala katika kongamano la CHKAKITA- CHUO KIKUU CHA KARATINA-KENYA, 8-9, AGOSTI, 2019.

Go to Top