Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Forth Coming Article (s)

 • Mwingilianomatini katika Riwaya za Kiswahili: Mfano wa Cheche za Moto na Kidagaa Kimemwozea.

Fort Coming Book(s)

 • Fasihi ya ya Kiswahili ya Watoto: Maendeleo, Nadharia, Mbinu na Mifano ya Uchambuzi (In Press- TATAKI- University of Dar Es Salaam).

Books Published

Individual Publications

 • Ngugi Pamela (2019). Familia ya Sudi na Shadda. Longhorn Publishers, Nairobi. (Gredi 1)
 • Ngugi Pamela (2019). Sudi na Shadda Wasoma kazi mbalimbali. Longhorn Publishers, Nairobi(Gredi 2).
 • Ngugi, Pamela (2019). Sudi na Shadda Wamzuru Babu. Longhorn Publishers, Nairobi ( Gredi
 • Ngugi Pamela M.Y. (2016). Mbwa wa Jemo. Kenya Literature Bureau.
 • Ngugi Pamela (2016). Introducing Children’s Literature. Lambert Academic Publishing. Berlin. 978-3-659-84696-1 ( Online publication).
 • Ngugi Pamela (2014). Ujasiri wa Tito. Oxford University Press, Nairobi. ISBN 978 019 573982 4.
 • Ngugi Pamela (2012). Abida Avuka Barabara, Longhorn Publishers. Nairobi. ISBN 978 9966 36 223 1.
 • Ngugi Pamela, (2011): Language and Literacy Education: The State of Children's Literature in Kiswahili in Kenya. Lambert Academic Publishing. Berlin. ISBN 978-8433-9327-0.
 • Ngugi Pamela M.Y, (2010): Hazina Shambani, Marimba Publishers. Nairobi. 798-9966-794-02-6.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2009): Sisho Akutana na Wababeli, East Africa Publishing House. Nairobi. ISBN978-9966-25-739-0.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2009): Kijana Mwaminifu, East African Publishing House. Nairobi. ISBN978-9966-25-624-9.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2008): Dani na Wezi wa Toyota, Longhorn Publishers, Nairobi.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2008): Wamenisingizia, Phoenix Publishers, Nairobi. ISBN9966 47 127-8.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2007): Yaliyompata Winko, Ripuvan, Phoenix Publishers, Nairobi. ISBN 9966 47 143 X.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2007): Alipata Tuzo, Longhorn Publishers, Nairobi. ISBN 9966 49 883 4.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2006) : Unajua ni kwa nini ? Phoenix Publisher, Nairobi. ISBN 9966 47 128 6.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2006) : Asante Mama, Phoenix Publisher, Nairobi. ISBN 9966 47 130 8.
 • Ngugi Pamela M.Y. (2005) : Ujeuri wa Mbwa, Phoenix Publisher, Nairobi. ISBN 9966 47 139 1.
 • Ngugi Pamela, M.Y. (2004): Teaching Module for Distance Learning entitled Mofolojia ya Kiswahili Published by Catholic University of East Africa.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. 2004: Mazoezi Ya Kiswahili: Darasa la Pili, Single Educational Publishers, Nairobi.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. 2005: Mazoezi ya Kiswahili: Darasa la Tatu. Single Educational Publishers, Nairobi.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003) : Nikicheka Anacheka 1B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN19 573053 4.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003) : Kipengo. 2B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN 978 019 573059 3.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003): Si Kupenda Kwake .3B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN 019 573065 8.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. (2003): Usicheze na Moto .4B, Oxford University Press, Nairobi. ISBN 019573071 2.

Forth coming children’s Stories

 • “Hadithi za Biblia” (2014): Submitted to Phoenix Publishers
 • Umaarufu wa Bwana na Bi Tai (2014). Submitted to Phoenix Publishers
 • Umebalehe sasa! (2014): Submitted to Phoenix Publishers
 • Hellen Kela! (2014): Submitted to Phoenix Publishers

Short Stories

 • Ngugi Pamela, M.Y. (2007) : 'Ndiye Huyu' In : Likizo ya Mauti na Hadithi Nyingine, K. King'ei & J. Kobia (Wah.), Publisher by Kenya Literature Bureau. PP. 8- 14.

Audio books

 • Kiswahili Audio Book : Ujeuri wa Mbwa by Phoenix Publishers. ISBN 9966-47-007-7. Vol.1

Chapters in a book

 • Ngugi Pamela, M.Y. (2018). “Mchango wa Viongozi wa Kenya katika Kuimarisha Lugha ya Kiswahili”. Katika: Shani Omari na Method Samuel (wah)
 • Fasihi, Lugha na Utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika: Kwa Heshima ya Prof. M.M. Mulokozi. TUKI. Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. 476- 496. ISBN: 978 99976 5316 1 9.
 • Ngugi Pamela M.Y. & Wamalwa, S. (2018). “An Evaluation of Researches done on African languages at Kenyatta University.” In C.M.Ndungo et al (eds) From Asmara 2000 to Nairobi 2014: Trends in African Languages and Literatures. Institute of African Studies, Kenyatta University. 76-89. ISBN No. 978-9966-54-100-0.
 • Ngugi, Pamela, Y. (2016). “Children’s Assembly as a strategy for Children’s active participation in Kenyan Society’ In Yaw Ofosi Kusi A (ed). Children’s Agency and Development in African Societies. Dakar: Codesria Publication. 123-137.
 • Ngugi, Pamela, Y. (2014). “Use of Children’s Literature in Multilingual Education in Kenya” In Multilingualism and Education in Africa: The State of the Art. Edited by edited by Daniel O. O. Orwenjo, Martin C. Njoroge, Ruth W. Ndung’u and Phyllis W. Mwangi. ISBN (10) 1-4438-6222-3. New Castle: Cambridge Scholars Publishing. 102 -117.
 • Ngugi Pamela & Wendo Nabea. (2011). “Children’s Literature in Kiswahili: A stylistic Approach”. In East African Literature: Essays in Written and Oral Traditions. Edited by J.K.S. Makokha, O.J. Obiero, Egara Kabaji & Dominica Dipio. Berlin: Logos Verlag Berlin. ISBN 978-3- 8325-2816-4. 223 – 244.
 • Ngugi Pamela M.Y. & Osore, Miriam (2001): “Maisha: Kitendawili na Johari”. In Henry Indangasi and Masumi Odari (Eds) Daisaku Ikeda and Africa Reflection by Kenyan Writers. Published by Nairobi University Press. Pp. 96-101. ISBN 9966 846 49 2.

Joint Publication of books

 • Ngugi, Pamela, Miriam Osore and Ezekiel Alembi (2006): Kwa Nini Ndovu Hali Nyama. Published by Longhorn Publishers. ISBN: 9966 49 784 6.
 • Ngugi, Pamela, M.Y. & Gerald Matti (2005) : Mazoezi ya Kiswahili : Darasa la Tatu. Single Educational Publishers, Nairobi. ISBN 9966 9853 0.
 • Ngugi Pamela, M.Y. & Gerald Matti (2004): Mazoezi Ya Kiswahili: Darasa la Pili, Single Educational Publishers, Nairobi. ISBN 9966 9853 3 6.
 • Ngugi, Pamela and Chacha Leonard (2003): Kenyatta University, Teaching Module for Distance Learning entitled Sociolinguistics.
 • Ngugi Pamela M.Y. & Musau, Paul. (2002): Kunga za Kiswahili. Nairobi : Didaxis, ISBN 9966-9680-0-8.
 • Ngugi Pamela, Osore Miriam & Egara Kabaji (2002) : Winners English for Standard One. Nairobi: Metro Language and Communication Centre. ISBN 9966-9988-0-2.

Books Edited (Jointly Edited)

 • Catherine Ndungo, Leonard Chacha, Pamela Ngugi & Makokha Justus (2018). From Asmara 2000 to Nairobi 2014: New Horizons and Trends in African Languages and Literature. Nairobi: Kenyatta University Press.
 • Hilda Kebeya, Miriam Osore, Pamela M. Ngugi & Charles Kebaya (2016): Language and Translation: Theory Pedagogy and Practice. Published by Nsema. ISBN: 976-1-926906-47-8.

Published Translated works

Joint Authorship

 • Ngugi Pamela, Chacha Leonard & Osore Miriam, (2019): Translated the Board of Engineers of Kenya Service Charter and Brochure from English to Kiswahili.
 • Ngugi Pamela, Chacha Leonard & Osore Miriam, (2019): Translated the Kenya Tourism Board Service Charter from English to Kiswahili.
 • Ngugi Pamela, Osore Miriam and Peter Kagunda, (2003): Translated Shrine of Tears by Francis Imbuga to Madhahabu ya Kilio Published by Metro Language and Communication Center. ISBN 9966-9988-4-5.
 • Ngugi Pamela and Miriam Osore, (2001): Wakunga wa Kienyeji from Traditional Birth Attendants Commissioned by World Health Organization and Quest and Insight Publishers. ISBN 9966 925 031.
 • Ngugi Pamela and Miriam Osore, (2001): Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama from Breast Feeding, Commissioned by World Health Organization and Quest and Insight Publishers. ISBN 9966 925 02 3

chair swahili dept

Dr. Pamela Muhadia Ngugi

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Go to Top