Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni mwa wageni wengine.
Wanafunzi idarani wakiwa kwenye kongamano la CHAWAKAMA katika chuo kikuu cha Maasai Mara- Narok, Kenya
Wanaidara waliohudhuria semina ya idara kusikiliza mawasilisho ya wenzao waliohudhuria kongamano la CHAWAKAMA - Chuo Kikuu cha Maasai Mara- mwezi wa Novemba, 2019.
WAHADHIRI NA WANAFUNZI WA UMAHIRI WALIOHUDHURIA WASILISHO LA DR. MUSA HAS KUTOKA TATAKI_ CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Taarifa

Bw. Steve Mwendwa, mwanafunzi wa Uzamili- Idara ya Kiswahili ameteuliwa kushiriki katika mafunzo ya Utafiti:
Advanced Ethnographic Research Methods Training Field School, 22 July, 2019 – 11 August, 2019.
Mafunzo haya yanayotolewa kwa wanafunzi 8 kutoka Afrika Kusini na 2 kutoka Kenya, yamefadhaliwa na Chuo Kikuu cha Johannesburg na British Institute in East Africa.

chair swahili dept

Dr. Pamela Muhadia Ngugi

Mwenyekiti, Idara ya Kiswahili 


Kiswahili News & Events

Go to Top