Chairperson, Dr Pamela Ngugi and Dr Beth Mutugu during a visit of Othaya Girls High School visited to the department on 11th March, 2020
- Details
Wahadhiri wa Idara ya Kiswahili na wageni walio hudhuria semina iliyoandaliwa kusherehekea siku ya Lugha Mzazi akiwemo Naibu Balozi wa Bangladesh, Mheshimiwa Bw. Sayed Ahmed na Prof. Onywera - Registrar , Research, Innovation and Outreach miongoni
- Details
Wahadhiri wa Kiswahili: Dr. Pamela Ngugi- na Dr. Miriam Osore pamoja na wanafunzi wa Phd wa kutoka Uganda: Abdu Salimu Rais na Yunus Lubuuka katika kongamano la CHAUKIDU katika chuo kikuu cha Kyambogo, Uganda tarehe 13- 15, Desemba,2019.
- Details
MAANDALIZI YA WARSHA
JONATHAN CHOTI WA CHUO KIKUU CHA MICHIGAN STATE AKISHIRIKIANA NA PROF. PETER GITHINJI WA IDARA YA KISWAHILI – CHUO KIKUU CHA KENYATTA PAMOJA NA DR. LUCY WATHIKA WA IDARA YA LUGHA NA FASIHI CHUO KIKUU CHA EGERTON WATAANDAA WARSHA KWA WANAFUNZI WA UMAHIRI TAREHE 9-11,DESEMBA, 2019, ARC CHUO CHA EGERTON, NJORO.
MADA YA WARSHA HIYO NI, “WORKSHOP FOR EARLY LECTURERS / GRADUATE STUDENTS IN LINGUISTICS|”
- Details